Kwa watoto wetu kusoma ni mhimu sana, sio kuchunga ng'ombe na kufanya kazi mbalimbali. Kwanza kabisa ni mhimu kusoma, sikatai kujifunza kazi ni mhimu pia, ila kusoma ni mhimu sana, tujitahidi sana kuwapeleka watoto wetu shule, maana waafrika tupo nyuma sana kwa swala hili.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment