Pages

Sunday, December 7, 2008

KUFURAHI KIDOGO NI MHIMU SANA KATIKA MAISHA HAYA, BAADA YA KAZI MBALIMBALI.

Wa kwanza kushoto Filipo, Roberto na Gervas a.k.a KG, wakifurahi kwa kupiga ngoma kidogo baada ya kazi mbalimbali za kutwa Kituoni Makalala. Roberto ni kijana wa Bari-Italy.


Huyu mwenye shuka nyekundu kama mmasai, tulimpa jina la utani SOKOMOKO, maana ana vituko sana (anachekesha sana). Kijana kutoka Sicilia-Italy. Lakini anaongea kiswahili vizuri sana cha kisela kabisa, yaani ni mototo wa mjini kabisa kweli humtishi kitu Tz.


0 idadi ya maoni: