Pages

Thursday, December 11, 2008

CHAKULA CHA USIKU PAMOJA NA MARAFIKI KUMUAGA MALAIKA=LA CENA INSIEME CON GLI AMICI PER SALUTARE MALAIKA.

Picha ya pamoja na marafiki, nyumbani kwa Ivani, kumuaga Malaika baada ya kumaliza rikizo yake kwa mda nyumbani kwake Cesena, sasa anarudi kijijini kwake Makalala-Mafinga, kuendelea na shughuli zake za kuendesha kituo cha watoto yatima. Kwaheri Dada Malaika kila lakheri kwa yote mazuri unayo yafanya Tanzania.
Mimi na Malaika baada ya msosi wa usiku nyumbani kwa Ivani, kumtakia safari njema ya kurudi huko Makalala.
Io con Malaika dopo la cena a casa di Ivani, per salutare e dare il buon rientro a Makalala.

0 idadi ya maoni: