Hapa ni Gervas wa kwanza kushoto, anafuatia Reginardo, mimi na Filipo tukijiandaa kuacha alama ya rangi ukutani Makalala kama alama ya kumbukumbu tumefika kituoni hapo. Mwaka 2006 tulipo tembelea kituoni hapa Makalala.
Alama za ukutani kama zionekanavyo.
Francesco (Francis), kijana kutoka Modena-Italy, akiacha alama yake ya mguu ya rangi ukutani Makalala kama kumbukumbu yake kufika hapo kituoni, mwaka huu 2008 mwezi wa 8.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment