Pages

Sunday, November 30, 2008

TUCHEZE NGOMA KUANZIA UTOTONI? NI HAKI?












Afrika huanza mapema toka utotoni kucheza ngoma, ni asili yetu ya Afrika, lakini kuna watu huwa wanapinga sana, sasa ni haki au si haki? Huu ni utamaduni wa Afrika, sasa sijui kama ni haki kuanzia utotoni kucheza ngoma. Picha hizi ni Makumbusho-Dar es salaam.



0 idadi ya maoni: