Hapa tunaona mwanzo wa ujenzi wa Makalala.
Sehemu ya shamba la mahindi la Makalala.
Hapa ujenzi ukiwa unaendelea...
Nyumba ya watoto wa Makalala, ikiwa tayari kwa kupauliwa.
Hapa nyumba imekamilika, seheme ya kukaa mkuu wa kituo ( Mwanzilishi Dada Malaika).
0 idadi ya maoni:
Post a Comment