Nimelipenda wazo la uongozi wa shule ya msingi Kilimani-Sinza-Dar, la kupeleka wanafunzi wao kijiji cha Makumbusho-Dar kujifunza kupiga, kuimba na kucheza ngoma za asili. Kuna watoto wengi wanazaliwa na kukulia mijini bila kwenda vijijini kwenye asili ya wazazi wao, hupoteza kabisa asili zao. Wasipotambulishwa utamaduni wao baadhi yao hukosa mishikirio ya kitamaduni katika maisha ya ukubwani.
Picha ni walimu na wanafunzi wa shule hiyo ya Kilimani-Dar, wakicheza ngoma za asili.
(Habari na Picha kutoka kwa Mh.Maggid).
0 idadi ya maoni:
Post a Comment