Mara nyingi familia zetu za kiafrica yanatokea haya, karibu kila siku. Mama mgonjwa sijui nimsaidieje hatuna kitu hata mimi mwenyewe sijui nitakula nini leo. Yaani kama anawaza hivyo, yaani ni masikitiko kweli. Haya mambo yatakuja kuisha lini kwetu sisi waafrika? Umaskini, kwa watoto ni tabu sana, ni hudhuni tuu.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment