Pages

Wednesday, November 26, 2008

MALEZI YA WATOTO NA KUKAA PAMOJA NA KUFURAHI.

Akina dada walezi wa watoto wa Makalala, wakifurahi na watoto yatima kituoni hapo.


Mimi na wageni kutoka Italy, tukifurahi na watoto yatima wa Makalala mwaka huu mwazi wa 8.


Dada Malaika mwanzilishi wa kituo hiki cha Makalala, akifurahi na watoto wake yatima



Valentina a.k.a Dorina, msichana kutoka Trento-Italy akifurahi na watoto yatima wa Makalala.




0 idadi ya maoni: