Pages

Thursday, November 20, 2008

HISTORIA INAENDELEA, GARI YA KITUO CHA MAKALALA-TOYOTA, NA KAZI ZAKE MBALIMBALI.

Hapa kazi ya kubeba mbao za Makalala, kwaajili ya shughuli mbalimbali hasa za fenicha n.k
Usafiri ndio huu huu, kutusindikiza stendi kuchukua basi, siku ya kuondoka kurudi nyumbani.

Valentina na Laura wakifurahia kausafiri kwenye bodi nyuma, ilikuwa ndo mara yao ya kwanza kusafiri hivi, kwenye bodi.


Gari hili linasaidia sana Makalala hata kama limechakaa, hasa kwa mambo ya watoto kuwapeleka Hospital n.k, linahitajika gari jipya kwa kazi hii ya watoto. Kama kuna mtu anaweza kusaidia kupata usafiri mpya kwa watoto hawa.



0 idadi ya maoni: