Pages

Sunday, October 26, 2008

KUBEBWA NI RAHA KWELI. NI FURAHA SANA KWA WATOTO.



Mtoto yatima wa kituo cha Makalala-Mafinga akifurahia kubebwa na kijana Nico mgeni kutoka Italy. Alipo tembelea kituoni hapo kusaidia kazi mbalimbali pamoja na malezi ya watoto.




Furaha ya mchezo na chakula, husababisha kukua vizuri kwa watoto. Wanahitaji sana msaada wetu hawa watoto yatima.


2 idadi ya maoni:

Anonymous said...

UN PREMIO SPECIALE A CHI HA FATTO QUESTE FOTO!
NICO

Baraka Chibiriti said...

Se vuoi ti cerco chi ha fatto!