Hapa ni Makumbusho ambapo wana fotobaraza walikutana kuzungumzia kuhusu yatima wetu, ili tuwasaidiaje hawa watoto? Pia kituo cha watoto yatima Makalala-Mafinga, ndio moja wapo kilicho lengwa kusaidiwa na wana fotobaraza.
Kikao hiki cha pili hata mimi nilibahatika kuhudhulia, kwakweli mambo yalikuwa mazuri, tutafanikiwa tu kuwasaidia hawa watoto yatima, tujipe moyo.
Mimi na Jr.Michuzi tukibadilishana mawazo kidogo, siku ya kikao hicho kilicho fanyika Makumbusho Dar mwezi ulio pita.
Nami nilipata mda wa kuongea kidogo na kutoa historia ya kituo cha watoto yatima Makalala.
0 idadi ya maoni:
Post a Comment