Pages

Wednesday, September 17, 2008

TUKIFURAHI PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MAKALALA. MWEZI WA NANE 2008.

Ni furaha sana kuwa na watoto hawa wa Makalala.

Dada Malaika (kama wamwitavyo hawa watoto yatima), mwanzilishi wa kituo hiki cha Makalala, wa kwanza kushoto akigawa pipi kwa watoto. Ni shukrani nyingi sana zimufikie kwa kusaidia hawa watoto wasio na wazazi.







Pia vijana mbalimbali kutoka Italy hutembelea kituo hiki, kusaidia kazi mbalimbali na kutoa misaada mbalimbali, tunawashukuru sana.




2 idadi ya maoni:

Anonymous said...

GRAZIE BARAKA,
BELLO IL POSTO FANTASTICI I BAMBINI E STUPENDE LE FOTO!
nico

Anonymous said...

Ok, grazie a te Nico.

Un abbraccio!
Baraka.