Pages

Friday, January 30, 2015

OGGI PER UNA VISITA ALLA SCUOLA ELEMENTARE DI MAKALALA, LUNGANGA, MAFINGA, IRINGA - TANZANIA.






Wednesday, January 28, 2015

MAKALALA CHILDREN'S HOME.







Monday, January 26, 2015

AUTOSCUOLA PER I BIMBI DI MAKALALA.


Autoscuola......si va a scuola, studenti di Makalala.


- Gari la shule.....wanaenda shuleni, wanafunzi wa Makalala.

Thursday, January 22, 2015

BENVENUTA VICTORIA FRA DI NOI A MAKALALA = KARIBU VICTORIA KATI YETU MAKALALA.

 SAFARI YA KWENDA KUMCHUKUA.
 FILIPHO.
 WANANDUGU.

 BABA MZAZI NA SHANGAZI.


 SHANGAZI.
MAMA MLEZI WA MAKALALA.

Benvenuta Victoria fra di noi a Makalala Children's Home, dopo la morte della tua Mamma.....adesso trovi altre Mamme che ti vogliono bene. Benvenuti a Makalala.

Karibu sana Victoria kati yetu hapa Makalala Children's Home, baada ya kifo cha Mama yako.....sasa utapata Mama wengine walezi wanaokupenda. Karibu sana Makalala.

Tuesday, January 13, 2015

KAMA KAWAIDA SHUZIMEANZA LEO.....HAPA MWENDO NI SHULE TU SASA!


Monday, January 12, 2015

NDANI YA MAKALALA.






Thursday, January 8, 2015

MTOTO PETRO WA KITUO CHETU CHA MAKALALA.....AMETUTOKA HAPO JANA.

Mtoto Petro, wa kituo chetu cha Makalala......baada ya kuugua kwa muda mfupi, jana jioni imekuwa bahati mbaya, katutoka. Hapa pichani siku tulipo mpokea miezi 3 iliyopita, baada ya kufariki mama yake mzazi wakati akijifungua.
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
R.I.P Petro.

Monday, January 5, 2015

I LAVORI DI MAKALALA CHILDREN'S HOME. IO E FILIPPO.