Thursday, September 25, 2014
MIMI NA BOSS WANGU MALAIKA...BOSS WA MAKALALA CHILDREN'S HOME, TUKIWA PAMOJA NA BABA ASKOFU WA KANISA KATOLIKI IRINGA,MHASHAMU ASKOFU NGALALEKUMTWA.
Tukiwa pamoja na Baba Askofu Ngalalekumtwa, askofu wa Kanisa Katoliki Iringa....pia ni Rais wa Maaskofu Katoliki Tanzania. Tulipoenda kumtembelea hapo kwake Uaskofuni Kihesa - Iringa, ni mkarimu sana alitupokea vizuri sana....asante sana Baba Askofu Ngalalekumtwa. Pia ni mshirika sana wa Kituo cha Watoto Makalala.
Wednesday, September 24, 2014
Friday, September 19, 2014
Thursday, September 18, 2014
WATOTO WA MAKALALA WAKIOTA JUA KIDOGO....JUA LENYEWE LA SHIDA SANA MAFINGA. NI BARIDI KWENDA MBELE.
Wakiwa na dada yao Vumilia, pia Vumilia alikuja mdogo kama wao. Hongera sana Makalala Children's Home, kwa huduma nzuri na malezi mazuri kwa watoto hawa. Na tunawaalika wadau wote wenye mapenzi mema, wazidi kukisapoti kituo hiki kwa huduma mbalimbali.