Pages

Friday, April 30, 2010

CHI HA INCASTRATO PETER PAN!

Thursday, April 29, 2010

WATOTO WAZURI WAMEPENDEZA KUTOKA BUTIAMA KWA MWALIMU.


Wednesday, April 28, 2010

MAKALALA CHILDREN'S HOME-MAFINGA-IRINGA-TANZANIA.


Tuesday, April 27, 2010

WE ARE THE WORLD FOR HAITI!

Monday, April 26, 2010

BENVENUTO A MAFINGA = CON COCA COLA.

La Coca cola da per tutto anche a Mafinga c'è.

Saturday, April 24, 2010

BUON WEEKEND - BUONA DOMENICA A TUTTI.

Friday, April 23, 2010

SHULE KWANZA AU BIASHARA.........???

WADAU WA HAKI ZA WATOTO MPO LIKIZO AU?

-RAY NJAU.



Thursday, April 22, 2010

POVIA - LA VERITA'.

Wednesday, April 21, 2010

APRILE - MWEZI WA NNE (APRILI) 2010 MAKALALA.




Tuesday, April 20, 2010

MARZO - MWEZI WA TATU (MARCHI) KATIKA KALENDA YA 2010 YA MAKALALA.




Sunday, April 18, 2010

WATOTO WAWASHUKURU WABUNGE KWA KUWALINDA.




Leo kwa zaidi ya saa moja halaiki ya wanafunzi wapatao 27,127 kutoka maeneo mbalimbali ya Dodoma Mjini, na watoto wanaoishi katika mazingira magumu, waliandamana kuingia katika uwanja wa Jamhuri - Dodoma kwa kuwashukuru wabunge na Serikali kwa kuwatungia sheria mpya ya watoto inayowalinda.
Maandamano hayo yalipokelewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye alisema yoyote yule atakaye kiuka haki za watoto sasa kuona Wrath ya Serikali, awe mzazi, mlezi au Jamii kwa ujumla. Katika Tamasha hili ambapo watoto waliomba haki zao za watoto ziingizwe katika katiba, kwasababu mpaka sasa kulikuwa hakuna katiba hiyo.
Waziri Mkuu aliwataka viongozi wa dini kuombea Taifa hili kuachana na mambo ya uuaji wa watoto, ama kwa hakika alisisitiza sana wananchi katika jambo hili kuelewa sheria hiyo mpya ambayo ni kali sana na inayolenga kuweka maisha ya watoto katika hali ya usalama, uadilifu na ubora zaidi.
Pichani Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akikagua kazi za mikono za watoto wa kituo cha mlimwa Anglican kabla ya kuhutubia katika Tamasha hilo la kulipongeza Bunge na Serikali. Na pia watoto wakiingia uwanjani wakiwa na mabango yao.
-ASANTENI SANA WABUNGE NA SERIKALI KWA KUWEKA SHERIA KALI KWA WATOTO ILI IWALINDE VYEMA, KWANI WATOTO NI TAIFA LETU LA KESHO LAZIMA WAHESHIMIKE SANA NA KUTUNZWA IPASAVYO.


Saturday, April 17, 2010

WEEKEND NJEMA NA JUMAPILI NJEMA SANA KWENU NINYI NYOTE.

KWAYA YA MT.CESILIA - ARUSHA.

BWANA ALIKUWA TEGEMEO LANGU.

BUON WEEKEND - BUONA DOMENICA A TUTTI VOI!

Friday, April 16, 2010

FEBBRAIO - MWEZI WA PILI (FEBRUARI) 2010 MAKALALA.




Thursday, April 15, 2010

KATUNI YA LEO: TABIA HIZI ZIACHWE KABISA.

Wednesday, April 14, 2010

GENNAIO - MWEZI WA KWANZA. KATIKA KALENDA YA MAKALALA 2010.




Tuesday, April 13, 2010

TUAENDELEA NA PICHA ZA KALENDA YA 2010 YA MAKALALA.







Monday, April 12, 2010

KALENDA YA MWAKA 2010 YA MAKALALA CHILDREN'S NDANI YA ITALY.


HUU NI UKURASA WA KWANZA KWA MBELE YA KALENDA YA 2010 MAKALALA. KALENDA HIZI ZINAPATIKANA HAPA CESENA - ITALY, KWAAJILI YA KUSAIDIA WATOTO HAWA YATIMA.

NAWATAKIENI JUMATATU NJEMA NA YENYE FURAHA TELE!

Kutoka kwa Saya.

SIDANGANYIKI KABISA, NI AFADHALI USIDANGANYIKE KABISA BINTI MZURI.


Saturday, April 10, 2010

BUON WEEKEND - BUONA DOMENICA CON PRINCIPESSA NJIDEKA OKEKE DALLA NIGERIA.

Friday, April 9, 2010

CI VUOLE UN ALLENATORE COME QUESTO PER QUEI GIOCATORI CHE GUADAGNANO TANTO NON FANNO NIENTE!

HUYU KOCHA NAMPENDA SANA!

Thursday, April 8, 2010

MAKALALA CHILDREN'S HOME-MAFINGA-IRINGA-TANZANIA.

Ndani ya Makalala Children's Home. Banda la kuku katika kuwaleteeni mazingira ya Makalala muone.

Wednesday, April 7, 2010

AIUTO...!!! NON VOGLIO MORIRE.


Tuesday, April 6, 2010

WAZIRI MKUU ASHEREHEKEA PASAKA NA WATOTO.

IL PRIMO MINISTRO DELLA TAZANIA IL GIORNO DI PASQUA INSIEME CON I BAMBINI BISOGNOSI. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiwapa watoto zawadi ya Pasaka nyumbani kwake Oysterbay - Dar es salaam. Pinda alikula chakula cha mchana cha Pasaka na watoto hao kusheherekea siku hiyo.
KIITALY:
Il primo ministro della Tanzania On. Mizengo Pinda, ha dato dono pasquale ai bambini bisognosi a casa sua Oysterbay, Dar es salaam - Tanzania. Pinda ha pranzato insieme con questi bambini il giorno di Pasqua.

Saturday, April 3, 2010

BUONA PASQUA TUTTI! VI AUGURO UNA BUONA FESTA.


Friday, April 2, 2010

BUONA PASQUA A TUTTI!




Thursday, April 1, 2010

KAMWE SITOICHUKIA NCHI YANGU TANZANIA, LAKINI KWA HAYA NITASEMA TU!

Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mateves iliyopo Wilayani Arusha katika Mkoa wa Arusha, wakifanya mtihani wao wa majaribio wa nusu ya mwaka, wakati wengine wakiwa wameketi chini kutokana na upungufu wa madawati na madarasa.
Shule hiyo ina zaidi ya wanafunzi 910 ambapo wanatumia madawati 320 tuuu katika madarasa. Sasa hebu niambie upungufu uliopo piga picha hapo uniambie wanasomaje hawa watoto wa A-Town.

Photo by Fredy Azzah.

-Kutoka kwa JIACHIE.