Pages

Monday, March 22, 2010

JAMANI HUU UNYANYASAJI WA WATOTO....WAZAZI MUACHE KABISA.

Wazazi wanao watumikisha watoto wao kama hivi, tunaomba waache kabisa si haki kwa watoto kufanya kazi kama hizi.

3 idadi ya maoni:

Anonymous said...

Ndio kukuwa na ukubwa huo we acha tu.

Anonymous said...

Wanasema samaki mkunje akiwa bado mbichi, sasa hapa kuna madhara na faida yake.

Anonymous said...

Maisha kama haya. Unakuta mtoto akai na mzazi mara nyingi ndugu. Ndugu waliowengi hawana huruma na mtoto wa mwenzie, mtoto anaishi kwa maisha ya kuogopaogopa, chochote atakachotumikisha anafanya,